Baraka the Prince Akamatwa na Polisi Uzinduzi wa Album ya Rosa Ree


Msanii wa Muziki wa Bongo Fleva @barakahtheprince_ adaiwa kukamatwa na Polisi Usiku wa Kuamkia leo katika Uzinduzi wa Album mpya ya @rosa_ree kwa kosa la Kumpiga Mwandishi wa Habari kutoka kituo cha Habari cha #EATV.

Inasemekana @barakahtheprince_ amelazwa Kituo cha Polisi kwa kosa la kumshambulia Mwanahabari kutoka #EATV baada ya Kumuomba kufanya nae Mahojiano ndio #Baraka akamvuta Pembeni na Kumshambulia.
.
.


from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/DXhqjf3
via IFTTT

Comments

Popular posts from this blog

What Happened To Sarafina Skin? From Brown To White Skin – How Did It Happen? Explore The Real Story

MASHAIRI MATAMU YA MAPENZI