Dharau Yaiponza Yanga...Yachezea Kichapo Kutoka Timu ya IHEFU..Rekodi Yavunjwa




HATIMAE klabu ya Ihefu imevunja rekodi ya Yanga ya kutokufungwa katika mechi ya 50 kwenye mechi za ligi kuu Tanzania bara baada ya kufungwa kwa mabao 2-1, mchezo ambao ulipigwa Mbarali mkoani Mbeya.

Yanga Sc ilianza kupata bao kupitia kwa Yannick Bangala kabla ya Never Tigere kusawazisha kwa kupiga mpira wa adhabu uliomshinda kipa wa Yanga na kutinga nyavuni moja kwa moja.

Bao la pili Ihefu Fc limefungwa na Kissu na kufanya matokeo kuwa 2-1.


from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/Y2XdcRo
via IFTTT

Comments

Popular posts from this blog

What Happened To Sarafina Skin? From Brown To White Skin – How Did It Happen? Explore The Real Story

MASHAIRI MATAMU YA MAPENZI