Picha 8 za Mabehewa Mapya ya Daraja la Tatu Reli ya SGR


Picha 8 za mnato za mabehewa mapya ya daraja la 3 kwa ajili ya kutumika katika reli ya SGR.

Mabehewa haya sio ya kizamani kama baadhi ya watu wanavyojaribu kupotosha. Waliopo nchi ambazo tayari zinatumia njia hii ya usafiri wanaujua ukweli.


Na haya ni mabehewa ya daraja la 3, fikiria ya daraja la pili (Business class) yatakuwaje na ya daraja la kwanza (First class) yatakuwaje?




from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/8QgzFbS
via IFTTT

Comments

Popular posts from this blog

What Happened To Sarafina Skin? From Brown To White Skin – How Did It Happen? Explore The Real Story

MASHAIRI MATAMU YA MAPENZI