Watu Maarufu Duniani Waliofariki Kabla ya Kufikisha Miaka 50


1.Aaliyah, miaka 22. Alikuwa ni mwimbaji wa muziki, alifariki kwa ajali ya ndege.


2.Malcom X, miaka 39. Alikuwa ni mwanaharakati wa haki za biinadamu. Aliuwawa.


3.Martin Luther King, miaka 39. Alikuwa pia mwanaharakati. Aliuwawa na watu wasiojulikana


4.Whitney Houston, miaka 49. Mwanamuziki. Alifariki kwa madawa.


5.2pac, miaka 25. ALikuwa mwanamuziki, Aliuwawa kwa kupigwa risasi.


6.Bob Marley, miaka 36. Mwanamuziki maarufu wa Reggae. Alifariki kwa Kansa.


7.Bruce Lee, miaka 32. Actor wa filamu za mapigano, sababu za kifo zake bdo ni utata mpaka leo.


8.John F. Kennedy, miaka 46. Rais wa Marekani. Aliuwawa kwa risasi.


9.Princess Diana, miaka 36. Alikuwa ni mke wa mtoto wa Malkia wa Uingereza. Alifariki kwa ajali ya gari, wengi wanashuku ajali hiyo ilipangwa.


10.Ernest Che Guevara, miaka 39. Mwanamapinduzi wa Argentina. Aliuwawa na CIA.


11. B.I.G, Miaka 23.


Taja wengine.



from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/trUXyiQ
via IFTTT

Comments

Popular posts from this blog

What Happened To Sarafina Skin? From Brown To White Skin – How Did It Happen? Explore The Real Story

MASHAIRI MATAMU YA MAPENZI