Harmonize Awachana Babu Tale na Sallam SK Kumuweka Nafasi ya 7 na ya 10 Wasanii Bora Bongo


Kutoka kwa Mwanamuziki @harmonize_tz ameonekana kutoridhishwa na nafasi aliyowekwa na ma manager wa WcB Wasafi @sallam_sk na @babutale katika orodha yao ya wanamuziki 10 bora wa Bongofleva waliofanya vizuri kwa mwaka huu 2022.

Kupitia insta story yake @harmonize_tz ameonekana kushukuru na kutupia ujumbe wenye fumbo ndani yake kwa kudai kuwa nafasi wanayoikwepesha mitaani wamekwisha ishtukia.

Katika orodha hizo @sallam_sk ametaja @harmonize_tz katika nafsi ya 10 huku @babutale yeye akimtaja katika nafasi ya 7' huju mwanamuziki @officialalikiba akiachwa kwenye orodha hiyo ya Top 10 artists 2022. Je unakubalia na nafasi aliyowekwa Konde Boy @harmonize_tz...?


from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/CAVrEve
via IFTTT

Comments

Popular posts from this blog

What Happened To Sarafina Skin? From Brown To White Skin – How Did It Happen? Explore The Real Story

MASHAIRI MATAMU YA MAPENZI