Hivi Ndivyo Diamond Alivyokataliwa na THT Kwa Kigezo Kuwa Hana Kipaji

 


THT huwa wana utaratibu wa kusajili vijana baada ya Muda fulani.


Diamond alisikia kwamba THT wanasajili wasanii kwa ajili ya Darasa Jipya, Hivyo jamaa akatokea.


Kusajiliwa THT lazima ufanye AUDITION na watambue kwamba angalau unajua kuimba.


Basi Diamond enzi hizo akiuza mitumba akaenda THT, gafla akakutana na Majaji Pale sura kauzu, ile kuimba tu, Jaji mmoja akamwambia "ķijana hujui kuimba, yaani kutoboa kwako kutahitaji utumie nguvu mno"


Kauli ya Jaji huyo ndio imemfanya Diamond kuwa mpambanaji mpaka sasa na ameweza kuwazidi kumuziki mpaka wale wenye vipaji vyao.


Wataalamu wanasema Juhudi na Mazoezi yanazidi Kipaji. Hivyo usitulie tu kisa una kipaji, Fanya Mazoezi, ongeza Juhudi katika kila unachofanya.



from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/dUGMBm2
via IFTTT

Comments

Popular posts from this blog

What Happened To Sarafina Skin? From Brown To White Skin – How Did It Happen? Explore The Real Story

MASHAIRI MATAMU YA MAPENZI