Nay wa Mitego Atoa Nyongo "Hivi Msanii Unaanzaje Kulalamika Kukosekana Kwenye List ya Wasanii Bora ya Babu Tale na Sallam SK?


Huu Hapa Ujumbe Wa Msanii @naytrueboytz Baada Ya Mameneja Wa Label Ya #WcbWasafi @sallam_sk na @babutale Kutoa List Zao Za Wasanii Ambao Wamefanya Vizuri Kwa Mwaka 2022

#NAY Kwenye Insta Story Yake Ameandika............."Hivi Msanii Unaanzaje Kulaumu Kutokuwepo Kwenye Top Ten Ya Mtu Kama Sallam Au Babutale. Mtu Mwenyewe Ana Wasanii Wake Kawaweka Juu Kwenye Iyo Chart Na Dunia Inajua Hawajafanya Vizuri, Unaanzaje Kulalamika Au Ku Mind? Jifunzeni Kupuuza Ujinga Ndugu Wasanii. wananchi Wanajua Mtaani Nani Kafanya Vizuri Huu Mwaka''


from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/0QSDdkq
via IFTTT

Comments

Popular posts from this blog

What Happened To Sarafina Skin? From Brown To White Skin – How Did It Happen? Explore The Real Story

MASHAIRI MATAMU YA MAPENZI