Sallam SK Aonekana na Diamond Platnumz Baada ya Kipindi Kirefu Kuchuniana


Baada ya kipindi cha takribani miezi 7 kupita, #sallamsk na #Diamondplatnumz kutoonekena pamoja kama ilivyokuwa imezoeleka, wawili hao wameoneka pamoja tena asubuhi ya leo Dec 28, wakiwa Ramada Resort sehemu ambayo litafanyikia Tamasha la CHEERS lililoandaliwa na wanamuziki Diamond pamoja na #Zuchu usiku wa Dec 31.

Kutoonekana pamoja kwa wawili hao, kulitengeneza uvumi wa Sallam Sk kutokuwa kwenye maelewano mazuri na Diamond kwa sasa, huku Meneja huyo akihusishwa kutimkia Konde Gang kabla ya kukanusha taarifa hizo wiki iliyopita akiwa kwenye interview ndani ya kituo cha radio cha Mjini Fm.


from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/bQWH7fG
via IFTTT

Comments

Popular posts from this blog

What Happened To Sarafina Skin? From Brown To White Skin – How Did It Happen? Explore The Real Story

MASHAIRI MATAMU YA MAPENZI