Mamlaka za Anga Kenya Waijia Juu KLM Kwa Kuzusha Uongo Machafuko ya Wenyewe Kwa Wenyewe


Kenya inatarajia kuwasilisha malalamiko rasmi baada ya Shirika la Ndege la Uholanzi KLM kutangaza kufutwa kwa safari zake za Kenya na Tanzania kwa kile walichokitaja kuwa ni machafuko ya wenyewe kwa wenyewe

Kenya tayari ilishawasiliana na muwakilishi wa KLM nchini humo.


from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/Teyliqp
via IFTTT

Comments

Popular posts from this blog

What Happened To Sarafina Skin? From Brown To White Skin – How Did It Happen? Explore The Real Story

MASHAIRI MATAMU YA MAPENZI