Muigizaji Idrissultan Ametangaza Kuingiza Filamu Nyingine Katika Platform ya Netflix


Muigizaji Idrissultan ametangaza kuingiza filamu nyingine katika platform ya Netflix. Hii inakuwa ni filamu ya pili kwa mkali huyo kuingia katika jukwaa hilo kubwa na maarufu ulimwenguni naye akishiriki.


Filamu yake ya kwanza ilikuwa ni "Slay" ambayo iliingia kwenye jukwaa hilo mwaka 2021. Filamu hii ya pili inaitwa "Married To Work" ambayo inatarajiwa kuonekana ndani ya jukwaa hilo February 10, 2023 ambapo waigizaji wengine ni kutoka Kenya na Nigeria.


Aidha, filamu ya Kitanzania ambayo pia ilishawahi kuingia katika jukwaa hilo ni "Binti" ambayo imeongozwa na Mtanzania Seko Shamte.



from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/3PvY7hg
via IFTTT

Comments

Popular posts from this blog

What Happened To Sarafina Skin? From Brown To White Skin – How Did It Happen? Explore The Real Story

MASHAIRI MATAMU YA MAPENZI