Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi Baada ya Kukataliwa na Aliyemuhonga Iphone 14


Mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Ushirika Moshi (MoCU), Gunze Luhangija wa Kwimba Mwanza aliyekuwa akisomea Shahada ya Menejimenti ya Ushirika na Uhasibu (BCMA), amekutwa amejinyonga huku chanzo kikisemekana ni kutokana na msongo wa mawazo uliosababishwa na kukataliwa na mpenzi wake aliuyekuwa anamgharamikia ikiwemo kumpangishia nyumba na kumnunulia simu aina ya iPhone 14.

Imedai marehemu alikuwa na ugomvi na mpenzi wake siku chache baada ya kumnunulia simu janja hiyo hali illiyopelekea kuwa katika hali ya msongo wa mawazo.


from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/9tDWN8q
via IFTTT

Comments

Popular posts from this blog

JINSI YA KUMVUTIA MVULANA/MSICHANA HADI KUWA MPENZI WAKO

Zifahamu staili 6 za Kufanya Mapenz

Maneno Matamu ya kumwambia mwanamke