Yanga Muuaji , Yashusha Mvua ya Magoli Kwa Rhino Rangers

Yanga Muuaji , Yashusha Mvua ya Magoli Kwa Rhino Rangers

Yanga imefanikiwa kuingia kibabe Hatua ya 16 Bora ya Azam Sports Federation Cup kwa kupata ushindi wa magoli 7-0 kwenye Uwanja wa Mkapa

Magoli yamefungwa na Yannick Bangala, Dickson Ambundo, Kennedy Musonda (2), Stephane Aziz Ki, Farid Mussa na David Bryson

Aidha, Yanga inatarajiwa kucheza na Tanzania Prisons kwenye hatua inayofuata ya michuano hiyo



from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/macSh3s
via IFTTT

Comments

Popular posts from this blog

What Happened To Sarafina Skin? From Brown To White Skin – How Did It Happen? Explore The Real Story

MASHAIRI MATAMU YA MAPENZI