Mkuu wa Mkoa wa Tanga Mgumba Atenguliwa

Mkuu wa Mkoa wa Tanga Mgumba Atenguliwa

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu ametengua uteuzi wa Mkuu wa Mkoa wa Tanga Omary Mgumba.

Aidha Rais Samia amemuhamisha Waziri Kindamba kutoka kuwa Mkuu wa mkoa wa Songwe na kwenda kuwa Mkuu wa Tanga.

Taarifa ya Ikulu iliyotolewa leo Februari 26, 2023 imeeleza mabadiliko mbalimbali yaliyofanywa na Rais kama inavyosomeka hapo chini.



from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/fPET2oq
via IFTTT

Comments

Popular posts from this blog

What Happened To Sarafina Skin? From Brown To White Skin – How Did It Happen? Explore The Real Story

MASHAIRI MATAMU YA MAPENZI