"Ndugu wasomaji wangu, katika pitapita nyingi katika mitandao tofauti nikakutana na habari njema kama hii, nikizingatia pia wasomaji wengi hupenda sana elimu hii nikaamua kuchukua nafasi hii kuhakikisha unafikiwa na uhondo huu, napenda kukushirikisha kwani wengi waliopo katika mahusiano wanamengi sana yanayowakumba hasa katika kupeana tamu tamu za radha tofauti. Ni kweli kwamba utundu ukisahaulika katika ulaji mzuri wa pilau basi utadharaulika na kuonekana hujui kumbe mambo mazuri yapo tu hapa wazi na hakuna wakumlaumu eti mwanaume huyu hajui au mwanamke huyu hajui, wote mnatakiwa kuwajibika kuchochea maufundi. Kumbuka pia mautundu yanahitaji asante kwa kuendelea kutumia APP YETU Endelea kufurahia NA kujifunza mambo mbali mbali ya mahusiano tuachie coment yako na sisi tutaifanyia kazi pia fanyika mwana familia wetu kwa ku SUBSCRIBE chanel ya BONGO SPECIAL TV BONYEZA HAPA ASANTE VIDEO YA LULU DIVA SIWEZI TEMBEA NA JUX VIDEO H...
Mara nyingi wengi wa wadada na wakaka wameshindwa kujua au kusoma ishara za pale wanapovutiwa au wanapokuwa wamevutiwa na mtu ambaye kwa Mara ya kwanza wanaweza kujuana na kuwa wapenzi au marafiki. Hebu fikiria imetokea Mara ngapi kwa baadhi ya wadada au wakaka wakakutana siku ya kwanza na kisha wakaunda mapenzi na wengine hufikia kufanya mapenzi kabisa katika siku ya kwanza tu wanapokutana. Unadhani ni uchawi?! Unadhani ni maajabu?! Usiwaze sana,, Ni jambo la kawaida sana hasa ukijua baadhi ya ishara na kujua kusoma lugha ya matendo ambayo kwa mdada au mkaka mliyeonana nae kwa Mara ya kwanza atakayokuonesha na kisha ukaweza kuongea nae kwa Mara ya kwanza pasipo kutumia maneno. Lugha ya macho au lugha ya matendo ina nafasi kubwa sana katika mahusiano pengine kuliko maneno ya kawaida. Leo katika post hii nitapenda kuzungumzia suala moja tu la Lugha ya macho na jinsi inavyoweza kumshawishi mwenzio hadi mkaanza kujenga urafiki. Lugha ya macho ina nafasi kubwa sa...
Stori za Usiku: Kuna rafiki yangu yupo kwenye mahusiano na msichana wake kwa miaka saba tangu wakiwa sekondari mpaka leo wamemaliza chuo kikuu wanaendelea poa. Mimi maishani mwangu sijawahi kuwa kwenye ahusiano kwa zaidi ya miezi sita nikilala na mwanamke mara mbili au tatu hata kama angekuwa mzuri vipi namkinai na nitamfanya visa mpaka aniache natafuta mwingine nae hivyohivyo kuna mmoja aliniweza akanikaba mpaka kivuli huyu nilikaa nae muda kidogo lakini miezi sita haikuchukua. Wakati mwingine nikishawakinai nafuta nambazao utakuta ananipigia nikiuuuliza wewe nani anakasirika wakati angejua nimeshawafanyia wenzake kama ishirini sasa hilo ni pepo au ni kujiendekeza wengine wamediriki kutishia kujiua baada ya kuwa nao kwa muda mfupi wakitarajia ndoa lakini wakaambulia visa na kuachwa.... Wenye uzoefu nishaurini sipendi ila najikuta tuu.... from UDAKU SPECIAL BLOG https://ift.tt/3kgMru1 via IFTTT
Comments
Post a Comment