Abiria Watakiwa Kumrekodi Askari Anayechukua Rushwa



Maelekezo hayo yametolewa na Kamanda wa Polisi Mkoa wa #Geita, Safia Jongo akisisitiza imekuwa ni mazoea kwa Askari wa Usalama Barabarani wanapokagua na kubaini gari lina upungufu basi wanachukua fedha kwa madereva badala ya kuandika faini na kuchukua hatua

Amesema “Rushwa ni adui wa haki, ni chanzo cha ongezeko la ajali, tusikubali. Mkitutumia ushahidi Askari akichukua rushwa kibarua chake kitakuwa ndio kimeishia hapo."

Aidha, ameagiza kila basi la abiria kubandika namba za simu za Makamanda wa mikoa yote wanapopita ili abiria wanapoona sintofahamu ama ukiukwaji wa Sheria ya Barabarani watoe taarifa kwa haraka


from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/iDhxPuK
via IFTTT

Comments

Popular posts from this blog

What Happened To Sarafina Skin? From Brown To White Skin – How Did It Happen? Explore The Real Story

MASHAIRI MATAMU YA MAPENZI