Air Tanzania (ATCL) Yapata Hasara ya TZS Bilioni 35


Kampuni ya Ndege Tanzania (ATCL) imepata hasara ya TZS bilioni 35.23 katika mwaka wa fedha 2021/22, ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali imeonesha.

Katika mwaka wa fedha 2020/21, ATCL ilipata hasara ya TZS bilioni 36.18.


from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/uUlZBov
via IFTTT

Comments

Popular posts from this blog

Zifahamu staili 6 za Kufanya Mapenz

Maneno Matamu ya kumwambia mwanamke