Beyonce na Adidas Biashara Imevunjika Baada ya Kupata Hasara Kubwa


Beyonce na Adidas wamefikia makubaliano ya kumaliza ushirikiano wao Kibiashara kufuatia kutofanya vizuri kwa bidhaa za Mwanamuziki huyo sokoni. Ripoti ya mauzo ya mwaka jana inaonesha Adidas waliitazama ‘Ivy Park Clothing’ kuingiza kiasi cha ($250 million) kwa mwaka 2022 lakini bidhaa hizo ziliangukia pua na kuingiza ($40 million) pekee.

from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/vO0BfbQ
via IFTTT

Comments

Popular posts from this blog

Zifahamu staili 6 za Kufanya Mapenz

Maneno Matamu ya kumwambia mwanamke