Hamisa Mobetto "Sijawahi na Haitakaa Itokee Kuwa Kwenye mahusiano na Mwanaume Asiye na Pesa"


Mwanamuziki na mfanya modelling nchini, @hamisamobetto ameketi kwenye meza ya Amplifaya ya Clouds Fm na kufanya Exclusive interview kuongelea mambo mengi yanayo muhusu yeye pamoja na maisha yake kiujumla.


Miongoni mwa aliyo yaongea ni kuhusu aina ya wanaume ambao amewahi kuwa nao kwenye mahusiano, Misa amekiri kuwa hawezi kuwa kwenye mahusiano na mwanaume ambaye hana hela na hajawahi kuwa na mwanaume wa dizaini hiyo.


Kwa sasa mwanaume aliye kwenye mahusiano na Hamisa hajulikani, ila kwa zawadi za Range Rover na mambo mengine, inakupa picha kuwa si sehemu ya kawaida.



from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/kOGVq8b
via IFTTT

Comments

Popular posts from this blog

What Happened To Sarafina Skin? From Brown To White Skin – How Did It Happen? Explore The Real Story

MASHAIRI MATAMU YA MAPENZI