Hatimaye Mange Kimambi Atoa Msimamo Wake Kwenye Sakata la Ushoga


Nimeulizwa sana msimamo wangu kwenye hii Issue ya ushoga. Here it goes;
.
Mimi ni mama mwenye watoto wa kiume. Nataka waje kuoa wanipe wajikuuu. Nataka wakue wawe vidume kweli kweli. Lakini ikitokea wakawa magay hakuna kitakachobadilika kwangu. Nitawapenda na kuwathamini na nitakuwa proud na watoto wangu. Mimi mtoto wangu hata aue mtu, nini kuwa gay, hata aue I will stil love and support them. I love my kids unconditionally.
.
That being said msimamo wangu mimi kwenye ugay ni hivi, sisi kam jamii tusiweke environment inayo encourage watoto kuwa gay hili napinga kwa nguvu zote kwa mfano siku hizi mpaka cartoon kuna watu gay, hapana i dont like this. Staki mtu aweke hii idea kwenyw kichwa cha mtoto wangu kuwa it’s okay to be that.
.
So yes kwangu mimi nasaposti kuwa tusiweke mazingira rafiki kwa vijana wetu kuweza kuwa gay.
Ila pia kuna wanaozaliwa hivyo they can’t help themselves, wamezaliwa wa kiume ila wana mahormone ya kike je hawa ni sawa kuwatenga na kuwapa hard time?
.
Kwa kifupi naweza sema sin msimamo unaoeleweka kwenye hili 🤣🤣🤣 maana sitaki kuwe na mazingira yanayo encourage ugay ila pia staki magay wapewe maisha magumu. Yani staki magay waongezeke ila pia hao waliopo staki wateseke. I know it’s difficult to understand me. Kwa mfano kutwa nawaambia wanangu wasiwe magay maana wataishia maisha magumu mnoooo, wataishi waisha ya kutengwa na jamii, na hatarishi pia za kuuawa au kupigwa, na pia. Hatarishi ya kupata magojwa etc ila hapo hapo mtoto wangu akiwa gay ntampenda na kumu accept . Kwa kifupi kwenye hii issue mniweke katikati labda


from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/f1PGYJs
via IFTTT

Comments

Popular posts from this blog

What Happened To Sarafina Skin? From Brown To White Skin – How Did It Happen? Explore The Real Story

MASHAIRI MATAMU YA MAPENZI