John Bocco Kuwa Kocha wa Simba...Issue Ipo Hivi


Mwenyekiti wa bodi ya Wakurugenzi Simba, Salim Abdalah 'Try Again' ni kama amemshtua nahodha John Bocco kugeukia upande wa ukocha ambao amekuwa akitamani

Try Again aliyasema hayo mapema leo wakati Simba ikisaini mkataba wa kuendeleza na kukuza soka la vijana

Try Again alibainisha kuwa Bocco mara kadhaa amekuwa akimwambia juu ya ndoto yake ya kuwa kocha na sasa njia kwake ni nyeupe kutokana na uwekezaji ambao umeanza kufanywa kwa vijana

"Bocco nahodha wetu na wewe ndoto yako ya kuwa kocha wa vijana inatimia sasa maana mara kwa mara umekuwa ukiniambia kuhusu hilo, hivi karibuni tutaanza ujenzi wa akademi yetu na tayari niliongea na mwekezaji wetu," alisemaTry Again


from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/tHY3KDd
via IFTTT

Comments

Popular posts from this blog

What Happened To Sarafina Skin? From Brown To White Skin – How Did It Happen? Explore The Real Story

MASHAIRI MATAMU YA MAPENZI