Mange Kimambi Amshukia Mke wa Mojay "Yule Dada Kuna Siku Yatamkuta Hana Akili Hata Kidogo"




Ameandika Mange Kimambi:

Eti Moj hakumpiga mtoto? Asingempiga mtoto, mtoto angechukuliwa na ustawi wa jamii mpaka leo hii? Kesi iko mahakamani mpaka sasa hivi bado mahakamani inajaribu kuamua mtoto aende wapi.
.
Ingekuwa mtoto kadondoka tu akaumia angechukuliwa na serikali?? Mtoto kaondolewa kwenye nyumba ya Moj.
.
Mke wa Moj hana akili hata moja.
.
Alafu anapigana vita za Moj why? Anyways, nawahakikishia yule dada kuna siku yatamkuta tu, jasiri haachi asili. Na sio kwamba hayajamkuta tayari. Yashamkuta mengi tu ila ni vile yule ni wale wanawake wakiTnzania wanaaoona ndoa ni muhimu kuliko kitu chochote duniani. Mwanamke ana paka hina anashindwa kulipa, madeni kila kona.
.
Mmeshindwa vita na Giggy we na mmeo ndo maana mkakimbilia polisi. Mnamchokonoaga Giggy wenyewe this time kawakalieni kooni mmekimbia polisi? We na mmeo wote masnitchi. Si mlikuwa mnachambana na Gigy siku zote sasa leo imekuwaje mkakimbilia polisi? Ukiona unachambana na mtu muda mrefu then suddenly unakimbilia polisi it means umemuogoa na vita umeshindwa.


from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/aO09o7E
via IFTTT

Comments

Popular posts from this blog

What Happened To Sarafina Skin? From Brown To White Skin – How Did It Happen? Explore The Real Story

MASHAIRI MATAMU YA MAPENZI