Meridianbet Yaangukia kwa Mama Ntilie wa Kariakoo na Manzese



Pata mizunguko 50 ya bure kucheza sloti na michezo ya kasino ya mtandaoni ukijisajili na Meridianbet. Jisajili kupitia link hii https://a.meridianbet.co.tz/c/TRqTCA

Kama ilivyo kawaida yao kila siku, Meridianbet hufikiria kurejesha kile kidogo wakipatacho kwa jamii, na sasa wamehamia kwa Mama Ntilie ambapo leo hii wametoa aprons kwa kina mama hao wanaopatikana maeneo ya Kariakoo na Manzese ziwasidie kwenye uandaji wao wa chakula.


Kila binadamu anahitaji kula chakula salama na kilicho bora kabisa ambacho kimeandaliwa vyema kwenye mazingira ya usafi, ndiyo maana timu nzima ya Meridianibet ikaona kuwa ni muhimu kuwatembelea wafanyabiashra wadogo wa chakula wanaojulikana kama Mama Ntilie na kuwapatia Aprons. 


Ukiwa na meridianbet unaweza kubashiri mubashara, tembelea maduka ya meridianbet uweze kucheza michezo ya sloti na Kasino ya Mtandaoni
 
Na kuhakikisha hilo halitokei kwa wakazi wa Kariakoo na Manzese, Meridianbet ikiongozwa na Mkuu wa kitengo cha mawasiliano ndugu, Martina Nkurlu walifika maeneo hayo na kusema kuwa; “ Aprons hizo zitawasaidia Mama Ntilie kuandaa chakula chao katika hali ya usafi na usalama”.
 
Beti na Meridianbet mechi za ligi zote, odds ni kubwa sana, usikose pia Kasino ya mtandaoni ya Meridianbet yenye michezo rahisi ya sloti kama Poker, Aviator, Roulette.
Baada ya kupokea Aprons hizo, mmoja kati ya Mama Ntilie ambaye ni mama John amesema kuwa anawashukuru Meridianbet kwa kuwafikia nakuwaletea Aprons hizo kwani uhitaji ulikuwa ni mkubwa sana kwao lakini pia waendelee hivyo hivyo kuwafikia wananchi wote wenye uhitaji.

NB: Habari njema kwako, Meridianbet imesikia ombi la wengi imekuja na Jackpot kubwa ya mechi 13 kwa dau dogo la kuanzia 1,000/=TZS mshindi atajinyakulia donge nono la Tsh 85,000,000/= PIGA *149*10#

#MERIDIANBET CHAGUA TUKUPE


from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/9MYhvmx
via IFTTT

Comments

Popular posts from this blog

What Happened To Sarafina Skin? From Brown To White Skin – How Did It Happen? Explore The Real Story

MASHAIRI MATAMU YA MAPENZI