Msanii Loui Amlipa Milioni 45 Producer S2kizzy Kwa Ajili ya Nyimbo Kumi


Msanii wa Muziki @itslouiagain Huwenda akawa Msanii wa kwanza kukitimiza kile alichokitangaza Mtaarishaji wa Muziki @s2kizzy kuwa Baada ya Mwezi wa Ramadhan atatengeneza kila Music audio moja kwa gharama ya Milioni 4.5.
.
Kupitia ukurasa wa Instagram wa #Loui ameshare Mawasiliano yake na #s2kizzy yakionesha kuwa Amemlipa Kiasi cha Milioni 45 kwa ajili ya kuandaa Ngoma 10.


from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/dRrDKMs
via IFTTT

Comments

Popular posts from this blog

What Happened To Sarafina Skin? From Brown To White Skin – How Did It Happen? Explore The Real Story

MASHAIRI MATAMU YA MAPENZI