Simba wapigwa 3-1 na Raja Casablanca



Baada ya dakika 90 kutamatika kwa kipigo cha goli 3-1 kutoka kwa Raja Casablanca Mchezo wa mwisho hatua ya Makundi ya Ligi ya Mabingwa Barani Afrika, Simba imekiri kupoteza mchezo guo lakini imefuzu robo fainali.

”Tumekamilisha hatua ya makundi ya #TotalEnergiesCAFCL kwa kupoteza lakini tumefuzu robo fainali.”

Goli pekee kwa Simba SC limefungwa na Jean Baleke dakika ya 49.



from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/Erc3K58
via IFTTT

Comments

Popular posts from this blog

What Happened To Sarafina Skin? From Brown To White Skin – How Did It Happen? Explore The Real Story

MASHAIRI MATAMU YA MAPENZI