Mwana FA "Mimi Sichangii Harusi ya Mtu yeyote"


"Mimi sichangii harusi ya mtu yeyote, ukifiwa nitakuchangia kwa sababu hilo hukulipanga, harusi wewe umepanga mwakani unaoana unaweza kukusanya hela zako.”

“Pili, unatakiwa uoe kwa urefu wa mfuko wako. Kwanini utuchangishe wote kama sisi wote tunaenda kuoa? aliyekwambia ndoa lazima watu wapambe maukumbi na wanywe ni nani? gauni la bibi harusi ni gharama kubwa. What’s the point? Kitu kikubwa ni maisha yenu kwamba mnaweza kuishi sawa" - Ameshema Mh.MwanaFA mbunge wa Muheza ambaye pia ni mwanamuziki maarufu

Ikumbukwe msanii huyo licha umaarufu alionao lakini miaka michache iliyopita alioa kimya kimya



from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/Go51NM4
via IFTTT

Comments

Popular posts from this blog

What Happened To Sarafina Skin? From Brown To White Skin – How Did It Happen? Explore The Real Story

MASHAIRI MATAMU YA MAPENZI