Rosa Ree Atwaa Tuzo Mbili Tanzania Music Awards, Rapper Bora wa Kike na Wimbo Bora wa Hip Hop wa Mwaka



Rapper Rosa Ree amejinyakulia tuzo mbili katika kinyanganyiro cha Kuwapa wasanii waliofanya vizuri mwaka jana 2022 katika mziki, katika hafla hiyo iliyofanyika usiku wa tarehe 29 April 2023 tuzo Msanii bora wa Hiphop wa kike Tanzania na tuzo ya Wimbo Bora wa Hip Hop zote zimechukuliwa na Rosa Ree

Wimbo ulioshinda kuwa wimbo bora ni wimbo wa Blue Print ambao Rosa Ree aliimba kuhusu mateso waliopitia babu zetu kutoka kwa wakoloni

Utazame wimbo huo hapa chini:





Pia Msanii staa wa Bongofleva Harmonize ameshinda Tuzo Ya Mwanamuziki Bora wa Kiume wa Mwaka 2022 kwenye Tuzo za TMA usiku wa kuamkia leo, Zuchu ameshinda Mwanamuziki Bora wa Mwaka wa Kike.

Billnass ameshinda tuzo ya Msanii Bora wa Hiphop wa kiume mwaka , Kontawa Mwanamuziki bora chipukizi.




from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/9YMz8IT
via IFTTT

Comments

Popular posts from this blog

What Happened To Sarafina Skin? From Brown To White Skin – How Did It Happen? Explore The Real Story

MASHAIRI MATAMU YA MAPENZI