Simba watolewa kiume CAFCL, penati zaamua



Klabu ya @simbasctanzania imeyaaga mashindano ya CAF Champions League kwa mikwaju ya penati baada ya dakika 90 kumalizika kwa goli 1-0 (Agg 1-1).
Penati za Simba SC
1> Erasto Nyoni ✅
2> Saido Ntibazonkiza✅
3> Shomary Kapombe❌
4> Moses Phiri✅
5> Clatous Chama❌


from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/kyzUbR0
via IFTTT

Comments

Popular posts from this blog

What Happened To Sarafina Skin? From Brown To White Skin – How Did It Happen? Explore The Real Story

MASHAIRI MATAMU YA MAPENZI