TMAAwards: Harmonize msanii bora wa kiume wa mwaka

 


Baraza la Sanaa Tanzania BASATA usiku wa kuamkia leo limetangaza washindi wa tuzo muziki Tanzania (TMA) za mwaka 2022 jijini DaresSalaam.


Tuzo ya mwisho kutolewa usiku wa leo ni kipengele cha mwanamuziki bora wa kiume wa mwaka 2022 tuzo za Tanzania Music Awards ambayo imekwenda kwa Konde Boy @harmonize_tz.



from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/y0hMXj2
via IFTTT

Comments

Popular posts from this blog

What Happened To Sarafina Skin? From Brown To White Skin – How Did It Happen? Explore The Real Story

MASHAIRI MATAMU YA MAPENZI