Video: Nyumba iliyokuwa ikijengwa na Mfanyakazi wa GGm alieuwawa kikatili Geita, Jirani amuelezea



NI Mwendelezo wa stori inayohusu Mmfayakazi wa Mgodi wa GGML Mwanamke Mmoja ajulikanaye kwa jina la Milembe Seleman (43) Mfanyakazi wa Mgodi wa Geita Gold Mining (GGML) Kitengo cha Ugavi Mkazi wa Mseto Wilaya na Mkoa wa Geita alieuawa kwa kukatwa sehemu mbalimbali za mwili wake na Watu wasiojulikana.

Sasa leo April 27, 2023 Ayo TV & Millardayo.com inakuletea kuhusu walichozungumza majirani pamoja na Ujenzi wa nyumba aliyoiacha huko Mkoani Geita


from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/SfgPA0B
via IFTTT

Comments

Popular posts from this blog

What Happened To Sarafina Skin? From Brown To White Skin – How Did It Happen? Explore The Real Story

MASHAIRI MATAMU YA MAPENZI