Wanao Ongoza Kwa Magoli Kombe la Shirikisho Caf




Mshambulaiji wa Yanga, Fiston Mayele anaongoza kwa ufungaji magoli Kombe la Shirikisho Afrika akiwa na magoli matano.


Katika mchezo wa leo dhidi ya Rivers United Mayele amefunga mabao mawili ya Yanga wakishinda ugenini 2-0

Hadi sasa Mayele amefikisha magoli 50 tangu alipoanza kuvaa jezi ya Yanga SC kwenye mashindano yote.

Msimamo wa Wafungaji Kombe la Shirikisho Afrika upo hivi;


5 — Fiston Mayele (Yanga)

4 — Paul Acquah (Rivers United)

3 — Malanga Mwaku (Marumo)

3 — Mostafa Fathi (Pyramids)


from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/akJUweT
via IFTTT

Comments

Popular posts from this blog

What Happened To Sarafina Skin? From Brown To White Skin – How Did It Happen? Explore The Real Story

MASHAIRI MATAMU YA MAPENZI