Gigy Money Atamba Kuagiza Gari la Mil.40

Gigy Money Atamba Kuagiza Gari la Mil.40


Msanii wa Bongo Fleva, Gift Stanford 'Gigy Money' amesema amemnunulia gari mpiga picha wake lenye thamani ya shilingi milioni 10.


Gigy amesema, aliona ni muda muafaka wa kumnunulia gari mpiga picha wake kwani ni mtu muhimu kuliko hata walinzi.


"Mpiga picha ni mtu muhimu so niliona ni bora nimnunulie. Mimi nimegiza la kwangu lingine bado nadaiwa kama milioni 15 hivi maana ni milioni 40," alisema Gigy alipokuwa akifanya mahojiano na Wasafi FM.




from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/YQkyMGd
via IFTTT

Comments

Popular posts from this blog

What Happened To Sarafina Skin? From Brown To White Skin – How Did It Happen? Explore The Real Story

MASHAIRI MATAMU YA MAPENZI