Jemedari Saidi "Yanga Wananichukia Sana Sababu Siwasifii...Mimi Algeria Nikafate Nini"



𝗠𝗜𝗠𝗜 𝗔𝗟𝗚𝗘𝗥𝗜𝗔 𝗡𝗜𝗞𝗔𝗙𝗔𝗧𝗘 𝗡𝗜𝗡𝗜"

Anasema Jemedari Saidi ✍️

"Mimi nikafanye nini sasa Algeria ?! Wanajaribu kubadilisha AGENDA, Agenda iliyopo ni Yanga kupoteza fainali ya kwanza dhidi ya SM Alger"

"Baadhi ya watu wa Yanga wanachuki na mimi kwa sababu huwa siwasifii. Sasa kama watu wengi wanawasifia mimi peke yangu ndio siwasifii wanachukia nini ?"

"Wanajua wanawapa nini hao wanaowasifia ndio maana wanataka na mimi niwasifie ili kutengeneza uhalali"

Maneno ya Mchambuzi Jemedari Said Kazumari wa Efm Tanzania



from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/MpvJteu
via IFTTT

Comments

Popular posts from this blog

What Happened To Sarafina Skin? From Brown To White Skin – How Did It Happen? Explore The Real Story

MASHAIRI MATAMU YA MAPENZI