Mwamuzi wa Yanga na USM Alger Atangazwa


Shirikisho la Soka Barani Afrika (CAF) Limemtangaza Mwamuzi Dahane Beida kutoka Mauritania Kuwa ndiye atakayechhezesha mchezo wa pili wa fainali ya Kombe la Shirikisho barani Afrika kati ya USM Alger dhidi ya Yanga SC

Mchezo huo Utachezwa Juni 03 Uwanja wa Julliet 5, Jijini Algers nchini Algeria

Dahane Beida atasaidiwa na Jarson Dos Santos Kutoka Angola na Arsenio Marngol kutoka Msumbiji


from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/23RWA96
via IFTTT

Comments

Popular posts from this blog

What Happened To Sarafina Skin? From Brown To White Skin – How Did It Happen? Explore The Real Story

MASHAIRI MATAMU YA MAPENZI