Paula Kajala Anunua Gari ya Milioni 45


Kupitia ukurasa wake wa Instagram PAULA ambae ni reality TV star ameonekana kujipongeza kwa kufanikisha kununua gari aina ya VanGuard ambayo ametutajia ina thamani ya shilingi milioni 45

Na ameenda mbali zaidi kwa kusema anajivunia kwakuwa hiyo ni hela yake mwenyewe ikiyotokana na kazi yake

Tukumbuke kuwa Gari ya kwanza ya mwanadada Paula ni Crown ambayo alinunuliwa na Mama yake mzazi, hivyo hii ni gari ya pili kumiliki huku ikiwa ya kwanza kununua mwenyewe kwa Pesa yake


from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/0JrBHKP
via IFTTT

Comments

Popular posts from this blog

What Happened To Sarafina Skin? From Brown To White Skin – How Did It Happen? Explore The Real Story

MASHAIRI MATAMU YA MAPENZI