Rais Samia Atoa Ndege Kubwa Kupeleka Wachezaji wa Yanga na Mashabiki Algeria


Mhe. Rais Dkt. @SuluhuSamia ametoa ndege kubwa Boeing 787-8 Dreamliner kwa ajili ya kupeleka timu, viongozi na mashabiki wa timu ya Wananchi @yangasc1935 katika pambano la pili la fainali ya Kombe la Shirikisho itakayofanyika Algers, Algeria tarehe 3 Juni, 2023.

HAINA KUFELI tuiombee Yanga ikawapige kwao.

#HainaKufeli
#TunapinduaMeza


from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/Yul6Z8s
via IFTTT

Comments

Popular posts from this blog

What Happened To Sarafina Skin? From Brown To White Skin – How Did It Happen? Explore The Real Story

MASHAIRI MATAMU YA MAPENZI