Wananchi Wavunja Geti na Kuruka Ukuta Uwanja wa Taifa....


Kutoka uwanja wa Mkapa Dar es salaam, Mashabiki wamelazimika kuruka fensi ili waingie uwanjani baada ya mageti kuchelewa kufunguliwa huku Polisi wakituliza ghasia hizo.Kutoka uwanja wa Mkapa Dar es salaam, Mashabiki wamelazimika kuruka fensi ili waingie uwanjani baada ya mageti kuchelewa kufunguliwa huku Polisi wakituliza ghasia hizo. Inaarifiwa kuwa tiketi zote zimeuzwa na haijulikani hatma ya Mashabiki ambao bado wapo nje wakipambana kuingia uwanjani ili kushuhudia mchezo wa fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika kati ya Yanga dhidi ya USM Alger ya Algeria.

Inaarifiwa kuwa tiketi zote zimeuzwa na haijulikani hatma ya Mashabiki ambao bado wapo nje wakipambana kuingia uwanjani ili kushuhudia mchezo wa fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika kati ya Yanga dhidi ya USM Alger ya Algeria.


from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/TZ3oxNR
via IFTTT

Comments

Popular posts from this blog

What Happened To Sarafina Skin? From Brown To White Skin – How Did It Happen? Explore The Real Story

MASHAIRI MATAMU YA MAPENZI