Cedrick Kaze Yanga Ndio Basi Tena Kuwa Kocha wa Geita Gold Mine

Cedrick Kaze Yanga Ndio Basi Tena, Kuwa Kocha wa Geita Gold Mine

Kocha kutoka nchini Burundi Cedrick Kaze anapewa nafasi kubwa ya kurithi mikoba ya Fredy Felix Minziro aliiyetupiwa virago Geita Gold FC, baada ya mkataba wake kufikia kikomo mwishoni mwa msimu 2022/23.

Kaze anatajwa kuwa katika mipango ya Geita Gold FC, kufautia mkataba wake na Young Africans kumalizia na sasa yupo huru kujiunga na klabu yoyote ya ndani na nje ya Tanzania.

Mmoja wa viongozi wa Geita Gold FC, amesema kuna asilimia kubwa ya Kaze kupewa jukumu la kuwa Kocha Mkuu ndani ya kikosi cha timu hiyo kwa sababu ya mafanikio waliyoyapata Young Africans kwa msimu uliomalizika wa 2022/23.


from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/sj1Ee5w
via IFTTT

Comments

Popular posts from this blog

What Happened To Sarafina Skin? From Brown To White Skin – How Did It Happen? Explore The Real Story

MASHAIRI MATAMU YA MAPENZI