Dereva UDOM Ashikiliwa Kwa Kuhusishwa na Tukio la Mtalaka Wake Kumwagiwa Tindikali



Dereva wa Cuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), Lusajo Makiwelu anashikiliwa na Polisi baada ya Mtalaka wake, Witness Nguvalwa (32) na mtoto wake (Miezi 8) kumwagiwa tindikali wakiwa wanasubiri daladala eneo la Maghorofani

Mwanamke huyo ambaye amejeruhiwa maeneo ya usoni, mabegani na shingoni, anasema alitoka #Iringa akimletea Mtalaka wake wito wa Mahakama uliolenga kugawana mali walizochuma pamoja baada ya ndoa yao kuvunjwa Kisheria, mwaka 2020

Ameeleza alipokuwa Kituoni akisubiri usafiri, alipita Mwanaume mmoja ambaye hakumfahamu akiwa ameshika kichupa mkononi kilichokuwa na kimiminika na mara baada ya kumsalimia aliwamwagia kimiminika hicho usoni na kutoweka


from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/ZursgC6
via IFTTT

Comments

Popular posts from this blog

What Happened To Sarafina Skin? From Brown To White Skin – How Did It Happen? Explore The Real Story

MASHAIRI MATAMU YA MAPENZI