Geoff Lea: Fiston Mayele Atakuwa Mjinga Kubaki Yanga

Geoff Lea: Fiston Mayele Atakuwa Mjinga Kubaki Yanga
 

Kuna kila dalili kuwa Fiston Mayele anaweza kuachana na Yanga kipindi hiki cha dirisha la usajili kutokana na kiwango bora alichoonesha msimu uliopita.


Mashabiki wengi wa Yanga wametakiwa kujiandaa kisaikolojia kwani wachezaji hawapo katika vilabu kwa mapenzi bali ni sehemu ya ajira kama zilivyo kazi nyingine.


Mchambuzi wa Miche
zo kutoka kituo cha E-fm na Tv E Geoff Lea anasema;


‘’Congo kungekuwa na maisha mazuri Fiston Mayele angebaki Congo asingekuja Tanzania, kwa sababu anatafuta maisha kwaajili ya familia yake na yeye binafsi ikija Ofa kutoka Saudia ambako wanalipa vizuri kuliko Yanga, ofa kutoka Afrika Kusini inalipa vizuri kuliko Yanga, Amerika ya Kaskazini, Angola ama Ulaya atakuwa mjinga kubaki Yanga"


"Hata ingekuwa wewe kuna timu inakulipa mil. 50 na nyingine mil.20 na sifa nyingi utakwenda kwenye mil.50 wakati mwingine maisha ya mchezaji yanaweza kumalizwa kwa rafu tu.’’


Unamuona Mayele akibaki Yanga msimu ujao?



from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/DWSXsFl
via IFTTT

Comments

Popular posts from this blog

What Happened To Sarafina Skin? From Brown To White Skin – How Did It Happen? Explore The Real Story

MASHAIRI MATAMU YA MAPENZI