PICHA:Huu Hapa Uwanja wa Yanga Unaotarajiwa Kujengwa Pale Jangwani


Mwonekano wa Uwanja wa Yanga SC unaotarajiwa kujengwa katika makao makuu ya klabu hiyo Jangwani, Dar es Salaam.

Uwanja huo utakuwa na uwezo wa kuchukua mashabiki 15,000 hadi 18,000.


from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/HFtjKn7
via IFTTT

Comments

Popular posts from this blog

What Happened To Sarafina Skin? From Brown To White Skin – How Did It Happen? Explore The Real Story

MASHAIRI MATAMU YA MAPENZI