Rammy Galis Atamani Baba yake Angekuwa hai

Rammy Galis atamani baba yake angekuwa hai


Mwigizaji wa Bongo Movie Rammy Galis kupitia Ukurasa wake wa Instagram ameeleza hisia zake juu ya Kumkumbuka Marehemu Baba yake.


Rammy Kwa sasa ni Rubani na Mwigizaji Mkubwa wa filamu hivyo anatamani Baba Yake angekuwa hai ili ashuhudie Mafanikio haya.


"I truly miss my father . He taught me how to walk , and other numerous life lessons . I wish he was here to see the person i became today .


#Captain❤️ #RipDad❤️"---Rammy Galis.


Mbali na Rammy Galis Kuonesha Mapenzi ya Dhati kwa Marehemu baba yake, pia anampenda sana Mama yake. Wiki Tano Zilizopita katika siku ya Mama Duniani, Rammy Gals ali-post picha akiwa na Mama yake kisha akaeleza kwamba Bila Mama asingekuwa anaishi sasa Maana katika Kipindi cha Shida na Njaa Mama Yake alihakikisha anamlisha Mwanae ingawa yeye alibaki na njaa.


"Without Mom, I wouldn’t exist today, Even after war & hunger Mom ❤️ feeded me first and remained hungry . I don’t know how much I can do to atleast pay 50% of the things she did for me , but i know it’s impossible mathematics . HAPPY MOTHER’s DAY ❤️..."---Rammy Galis.



from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/mYTaKnz
via IFTTT

Comments

Popular posts from this blog

What Happened To Sarafina Skin? From Brown To White Skin – How Did It Happen? Explore The Real Story

MASHAIRI MATAMU YA MAPENZI