YANGA:Fei Toto Aliuzwa Azam Kwa Milioni 200


Uongozi wa Klabu ya Yanga umesema msimu wa 2022/2023 imeingiza TZS milioni 200 katika mauzo ya wachezaji.

Msimu huu Yanga imemuuza mchezaji Feisal Salum kwenda Azam FC.


from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/4wMhnpq
via IFTTT

Comments

Popular posts from this blog

What Happened To Sarafina Skin? From Brown To White Skin – How Did It Happen? Explore The Real Story

MASHAIRI MATAMU YA MAPENZI