Ali Kiba na Siku Hizi Sio Mnyonge, Aibuka na Kumpa za Usoni Diamond Platnumz



Vita ya King Kiba Vs Diamond PlatNumz Inaendelea 

Simba DiamondPlatnumz alirusha Kombora Kwa King Kiba Kwa Kusherehekea Wimbo wa Zuchu kuingia Trending No.1

Diamond aliandika “Dah yani licha ya Kurisiti mtihani Lakini Bado mmepigwa, Tena na Zuchu… Halafu Katoto ka watu hakajafanya interviews wala hata party, Tatizo mfalume nawe umezidi sana kuandikiwa siku hizi… ungejitungiaga tu kama unavyofanyaga, Mbona watu wanapendaga tu vile, Anyways basi Enjoy na Honey #ThisIsWasafi
Mwisho wa Kunukuu

Leo Kiba amerusha Makombora mawili ya Tweet kwenda Diamond Anasema Nanunukuu….

 “Sema Kwevo Mdhaifu sana, tu party tuwili tutatu na Marafiki, Interview kadhaa na XXL, Roho inakufukuta, kutwa insta story halafu inabidi uzoee kuhusu Ngoma mfululu (Kali) 

Otherwise, Roho yako chafu itakutia stress siku Uje Ku OD,
Katika Tweet nyingine Ali Kiba anaendelea kuandika nanukuu “Halafu umepata nafasi itumie Vizuri mdogo wangu, Hela unazowekeza kuletea figisu kwenye mitikasi ya wenzio, ungeenda hata Vocal training na kuunda a good Production Team, ili uache Wivu na kugandamizia, Sema najua unaipenda sana #Sumu kuna Hii Love Song isikilize kali sana 🙈
Mwisho wa Kunukuu

Hii Vita Isiishe, ina matukio mengi


from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/OHVDPZ3
via IFTTT

Comments

Popular posts from this blog

What Happened To Sarafina Skin? From Brown To White Skin – How Did It Happen? Explore The Real Story

MASHAIRI MATAMU YA MAPENZI