BREAKING: Yanga Imemsajili Mrithi wa Fiston Mayele


Klabu ya Yanga imethibitisha kumsajili mshambuliaji Hafiz Konkoni kutoka klabu ya Bechem United inayoshiriki ligi kuu nchini Ghana.

Konkoni (23) raia wa Ghana ambaye alikuwa anahusishwa na klabu ya Al Hilal ya Sudan anatua klabuni hapo kama mrithi wa Fiston Mayele.

Msimu uliopita katika Ligi Kuu Nchini Ghana Konkoni alifunga magoli 15 kwenye mechi 26 na kutoa assist 3 huku akimaliza nafasi ya pili kwenye kinyang’anyiro cha tuzo ya mfungaji bora.




from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/cwN5PI7
via IFTTT

Comments

Popular posts from this blog

What Happened To Sarafina Skin? From Brown To White Skin – How Did It Happen? Explore The Real Story

MASHAIRI MATAMU YA MAPENZI