Hatimaye Luis Miquissone Ajiunga na Simba Uturuki



Kiungo mshambuliaji wa klabu ya @simbasctanzania, @luismiquissone11 ameanza mazoezi siku moja baada ya kujiunga na klabu yake, iliyoweka kambi ya wiki tatu nchini Uturuki.

Mwishoni mwa wiki, klabu ya Simba ilithibitisha kumrejesha kikosini kiungo huyo raia wa Msumbiji baada ya mchezaji, kuvunja mkataba wake na Al Ahly ya Misri.

Miquissone amerudi Tanzania baada ya nyota yake kushindwa kung’aa kwa Miamba hao wa Kabumbu Afrika waliomsajili kutoka Simba mwaka 2021.


from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/pT6meIW
via IFTTT

Comments

Popular posts from this blog

What Happened To Sarafina Skin? From Brown To White Skin – How Did It Happen? Explore The Real Story

MASHAIRI MATAMU YA MAPENZI