Hatimaye TCRA Yaufungia Wimbo wa Nay wa Mitego Unaoitwa Amkeni



Mamlaka ya Mawasiliano nchini (TCRA), umepiga stop matumizi ya wimbo wa rapper Emmanuel Elibarick, 'Amkeni' kupigwa kwenye mitandaoni ya kijamii na vyombo vya Habari.

Kwa mujibu wa Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA), wameeleza kuwa maudhui ya wimbo huo wa @naytrueboytz yana mwelekeo wa kutaka wananchi wasiwe na imani na Serikali. Pia unachochea mapokeo hasi juu ya utekelezaji wa mipango ya Serikali kwa ujumla.

Nay ame-share barua hiyo twitter iliyosainiwa na Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Bw. John Daffa.


from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/Mw7qj0u
via IFTTT

Comments

Popular posts from this blog

What Happened To Sarafina Skin? From Brown To White Skin – How Did It Happen? Explore The Real Story

MASHAIRI MATAMU YA MAPENZI