Mahrez wa Man City Naye Akimbilia Uarabuni, Apewa Miaka Minne


Nahodha wa timu ya Taifa ya Algeria, Riyard Mahrez amejiunga na klabu ya Al Ahli kwa ada ya uhamisho ya pauni milioni 30 kutoka Manchester City.

Mahrez (32) amesaini mkataba wa miaka minne wa kuitumikia miamba hiyo ya Saudi Arabia mpaka Juni 2027.


from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/gfzvYBt
via IFTTT

Comments

Popular posts from this blog

What Happened To Sarafina Skin? From Brown To White Skin – How Did It Happen? Explore The Real Story

MASHAIRI MATAMU YA MAPENZI