Marioo asipokuwa macho atafilisiwa na Paula na Kajala - Mwijaku


Marioo asipokuwa macho atafilisiwa na Paula na Kajala - Mwijaku

"Wote tunafahamu kama Kajala hana kazi yoyote hapa mjini lakini kila siku anakula bata, pesa anatoa wapi? vilevile Paula alishafunga duka lake muda mrefu baada ya sponsa kukataa kulipa kodi, lakini kutwa kula bata, anasuka nywele za gharama kila siku pesa anatoa wapi? wameungana kumfilisi Marioo na asipokuwa makini ndani ya miaka mitatu tutamsahau atabaki anamiliki sauti tu" - amepaza sauti Mwijaku

Hiyo tisa, kumi Mwajaku amesema kuna siku alimuomba laki 1 Marioo hakupewa na baadsye akaja kumuona Paula ana mamilioni aliyepewa na Marioo

Mwijaku anasema Marioo hajali hata ndugunzake huko waliko yeye pesa anatulia na kina Paula na Kajala


from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/V5HgCSE
via IFTTT

Comments

Popular posts from this blog

What Happened To Sarafina Skin? From Brown To White Skin – How Did It Happen? Explore The Real Story

MASHAIRI MATAMU YA MAPENZI