TANZIA: Msanii wa Taarab afariki Dunia





Salma Mbwana ‘Queen Salma’
Kiongozi wa kundi la muziki wa Taarab la Mashallah Modern Taarab"Super Shine" , Salma Mbwana ‘Queen Salma’ amefariki leo tarehe 25 Julai 2023 jijini Dar Es Salaam.

Taarifa kutoka Meneja wa Kundi la Muziki wa Taarab la Mashallah Modern Taarab "Super Shine" Bwana Ally Mikidadi Habibu anasema, Marehemu Salma Bwana amefariki leo mchana Saa Sita na nusu (6:30) katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) .

Msiba upo Magomeni Mapipa Mtaa wa Soga .




from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/i1jcFJI
via IFTTT

Comments

Popular posts from this blog

What Happened To Sarafina Skin? From Brown To White Skin – How Did It Happen? Explore The Real Story

MASHAIRI MATAMU YA MAPENZI