Watu Wabaya Waanza Kumchonganisha Jonas Mkude na Yanga..Yadaiwa Hayupo Kambini, Ukweli Huu Hapa


Watu Wabaya Waanza Kumchonganisha Jonas Mkude na Yanga..Yadaiwa Hayupo Kambini, Ukweli Huu Hapa
Wakati tetesi zikieleza kuwa kiungo mkabaji ingizo jipya ndani ya Yanga Jonas Mkude amesepa kambini AVIC habari za kuamini zimebainisha kuwa nyota huyo yupo kambini.

Ikumbukwe kwamba Mkude ni ingizo jipya ndani ya Yanga aliibuka hapo akiwa mchezaji huru baada ya kukutana na Thank You kutoka kwa mabosi wake wa zamani Simba.



from UDAKU SPECIAL https://ift.tt/MESf8sx
via IFTTT

Comments

Popular posts from this blog

What Happened To Sarafina Skin? From Brown To White Skin – How Did It Happen? Explore The Real Story

MASHAIRI MATAMU YA MAPENZI